Home LOCAL MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU PAMOJA NA MAWAZIRI WAELEZA MAFANIKO YA...

MKURUGENZI WA MAWASILIANO YA RAIS, IKULU PAMOJA NA MAWAZIRI WAELEZA MAFANIKO YA ZIARA YA RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI CHINA NA MISRI JIJINI DAR ES SALAAM 

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Waandishi wa Habari kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Novemba, 2022.

Balozi wa Tanzania nchini China Mbelwa Kairuki akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Novemba, 2022.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Novemba, 2022.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dkt. Selemani Jafo akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Novemba, 2022.

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya Waandishi wa Habari pamoja na kuelezea mafanikio yaliyopatikana kufuatia ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyofanya nchini China na Misri kwenye Mkutano uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 12 Novemba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here