Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA BENKI YA DUHIA NCHINI

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA BENKI YA DUHIA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete pamoja na Ujumbe wake mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.