Home LOCAL MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA BENKI YA DUHIA NCHINI

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA MWAKILISHI MPYA WA BENKI YA DUHIA NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete mara baada ya kuwasili Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwakilishi mpya wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Malawi, Zambia na Zimbabwe Bw. Natham Belete pamoja na Ujumbe wake mara baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao Ikulu ndogo Jijini Arusha tarehe, 25 Novemba, 2022.

Previous articleKKKT DAYOSISI YA MASHARIKI NA PWANI KUFANYA MKUTANO MKUU WA 36 KUJADILI UTEKELEZAJI WA KAZI MBALIMBALI.
Next articleRPC ILALA:  SEGEREA ASIYELIPA TOZO YA ULINZI FAINI LAKI TATU
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here