Home LOCAL MAJI YA KIGAMBONI YAFIKA MAGOMENI

MAJI YA KIGAMBONI YAFIKA MAGOMENI

Zoezi la kutoa upepo kwenye valvu ya inchi 6 ikiendelea katika eneo la Magomeni Mapipa, kata ya Magomeni wilaya ya Kinondoni.

Zoezi hili ni kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi eneo hilo ikiwa ni matokeo ya jitihada ya kutoa maji kutoka kwenye visima vya Kigamboni ili kuhudumia maeneo ya katikati ya Jiji yenye changamoto za maji.

Previous articleDCEA YAKAMATA WATU 9 AKIWEMO KOCHA WA MAKIPA SIMBA SC
Next articleTRA YAPONGEZA MCHANGO WA VYOMBO VYA HABARI KWA KUTOA ELIMU YA MLIPAKODI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here