Home LOCAL MAJI YA KIGAMBONI YAFIKA MAGOMENI

MAJI YA KIGAMBONI YAFIKA MAGOMENI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Zoezi la kutoa upepo kwenye valvu ya inchi 6 ikiendelea katika eneo la Magomeni Mapipa, kata ya Magomeni wilaya ya Kinondoni.

Zoezi hili ni kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi eneo hilo ikiwa ni matokeo ya jitihada ya kutoa maji kutoka kwenye visima vya Kigamboni ili kuhudumia maeneo ya katikati ya Jiji yenye changamoto za maji.