Home NEWSPAPERS YANGA, AL HILAL ZATOSHANA NGUVU KWA MKAPA

YANGA, AL HILAL ZATOSHANA NGUVU KWA MKAPA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Na: Stella Kessy.

MABINGWA watetezi Yanga leo wametoka sare 1-1 dhidi ya Al Hilal katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika

Katika mchezo uliochezwa katika dimba la Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo Yanga kwa sasa wanakibarua kigumu kutafuta ushindi wakiwa ugenini .

Huku bao la kwanza la Yanga kimefungwa na Fiston Mayele dakika ya 50 na kwa Al Hilal ni dakika ya 67 kwa Mohamed Youseif dakika ya 64.

Katika mchezo huo mabao yote yamefungwa kipindi cha pili ambapo kipindi cha kwanza hakuna timu  iliyofanikiwa kupata bao.