Home LOCAL WAZIRI UMMY AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA IDADI YA WATU...

WAZIRI UMMY AKUTANA NA MWAKILISHI MKAZI WA SHIRIKA LA IDADI YA WATU DUNIANI NCHINI TANZANIA

Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani nchini Tanzania Bw. Mark Bryan Schreiner.
 
Mazungumzo ya viongozi hao yamefanyika katika ofisi za Wizara ya Afya Jijini Dodoma yanahusu kuimarisha masuala ya afya ya uzazi, kudhibiti mimba za utotoni pamoja na vifo vya Mama wajawazito na Watoto wachanga.

Previous articlePROF. NAGU AKABIDHIWA OFISI RASMI NA ALIYEKUWA MGANGA MKUU WA SERIKALI
Next articleYANGA YAENDELEZA UBABE WA SHINDI, YAILAZA KMC 1-0 KWA MKAPA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here