Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA BARABARA YA KABINGO-KIBONDO -KASULU -MANYOVU (KIM260.6), KASULU MKOANI KIGOMA NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya Kabingo-Kibondo-Kasulu -Manyovu(km 260.6) katika Sherehe zilizofanyika Kasulu mjini Mkoani tarehe 17 Oktoba, 2022.Kigoma .

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi Buhigwe baada ya kufunguwa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Majengo mapya ya chuo cha Ualimu Kabanga, kilichopo Kasulu Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja wananchi wa Mvugwe, Kasulu Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma tarehe 17 Oktoba 2022