Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA WILAYA YA KIBONDO MKOANI KIGOMA 

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA WANANCHI WA WILAYA YA KIBONDO MKOANI KIGOMA 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma katika mkutano wa hadhara uliofanyika Wilayani humo tarehe 16 Oktoba, 2022.

Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa mkutano kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia tarehe 16 Oktoba, 2022.

Wasanii wa Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma wakitoa Burudani kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here