Home LOCAL RAIA SAMIA SULUHU HASSAN AAHIDI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO KUJENGWA...

RAIA SAMIA SULUHU HASSAN AAHIDI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO KUJENGWA KAMA ILIVYOKUSUDIWA

Kutoka Chato – Geita 15 Oktoba 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aahidi Hospitali Rufaa ya Kanda – Chato kujengwa kama ilivyokusudiwa.

Rais Samia Ametoa ahadi hio leo katika ziara yake ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda – Chato

“Hospitali hii mpaka sasa majengo matano yapo tayari Niwahakikishie tutaijenga kama ilivyokusudiwa, wataalamu wakutosha wamesha letwa na tutaendelea kuwaleta” Amesema Rais Samia

Aidha Rais Samia amewataka Wana Chato kujitokeza kwa wingi kujiunga na Bima ya Afya kwa wote pindi itakapoanza kufanya kazi ili kupata Huduma bora za afya katika Hospitali hiyo kwa gharama zilizo ndani ya Bima hiyo.

“Niwaombe sana tutakapo kuja na mfumo wa Bima ya Afya kwa wote, wote tukanunue bima ni kupitia bima hizo tunaweza tukaboresha zaidi huduma hizi za afya” Amesema Rais Samia

Previous articleRAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATORO NA BUSERESERE, PIA AZINDUA KITUO CHA KUPOKEA, KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA MPOMVU GEITA 
Next articleMWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  Ndugu Samia Suluhu Hassan ATEMBELEA OFISI ZA CCM NA KUZUNGUMZA NA  VIONGOZI WA CCM MKOA WA GEITA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here