Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  Ndugu...

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  Ndugu Samia Suluhu Hassan ATEMBELEA OFISI ZA CCM NA KUZUNGUMZA NA  VIONGOZI WA CCM MKOA WA GEITA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokewa na viongozi wa Chama alipowasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita akiwa ziarani mkoani humo. (Picha zote na CCM Makao Makuu ).

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Geita akiwa ziarani mkoani humo.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Viongozi wa CCM alipotembelea ofisi za Chama akiwa ziarani mkoani humo.

Previous articleRAIA SAMIA SULUHU HASSAN AAHIDI HOSPITALI YA RUFAA YA KANDA CHATO KUJENGWA KAMA ILIVYOKUSUDIWA
Next articleMEYA KUMBILAMOTO AWAONGOZA WANANCHI SEGEREA KUMUENZI BABA WA TAIFA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here