Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  NDUGU...

MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  NDUGU SAMIA SULUHU HASSAN  AFANYA ZIARA FUPI OFISI ZA CCM MKOA WA KIGOMA , LEO OKTOBA 18, 2022.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Akizungumza na Kamati ya Siasa Mkoa wa Kigoma alipofanya ziara fupi ofisi za CCM mkoani humo, Leo Oktoba 18, 2022.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akitia saini kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Kigoma akiwa ziarani mkoani humo.