Home LOCAL KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAKUTANA DODOMA

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAKUTANA DODOMA

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (kushoto) akipokea jedwali la hoja za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo (kulia) Mhe. Kilumbe Ng’enda.

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Bwa. Kaspar Mmuya akieleza jambo katika kikao hicho.

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati wa kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika katika ukumbi wa Bunge Oktoba 21, 2022 Jijini Dodoma.

(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

Na: Mwandishi wetu- Dodoma.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amepokea jedwali la hoja za Kamati ya Sheria Ndogo kuhusu Sheria zilizowasilishwa katika Gazeti la Serikali katika mkutano wa (8) wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mhe. Ummy amepokea jedwali hilo katika kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kilichofanyika Oktoba 21, 2022 katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

Previous articleSHULE YA SEKONDARI MCHANGANYIKO WAJIVUNIA MAFANIKO KITAALUMA
Next articleVETA YATOA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA KWA KUTOA FEDHA ZA KUIMARISHA MAFUNZO YA UFUNDI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here