Home LOCAL Habari picha: ZIARA YA NAIBU MEYA OJAMBI MASABURI PUGU

Habari picha: ZIARA YA NAIBU MEYA OJAMBI MASABURI PUGU

Na Heri Shaaban Ilala

Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar aes Salaam Ojambi Masaburi Leo Octoba 31 /2022 amefanya ziara Kata ya Pugu Stesheni Bangulo katika mgogoro wa Urasimishaji chini ya Mipango Miji ,aidha pia katika ziara hiyo MH,Masaburi ametatua kero ya Madarasa mapya ,ambapo Halmashauri wapo katika mchakato wa Ujenzi wameshatenga fedha za Ujenzi ,fedha zipo akaunti ya Kata .Pichani ,Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji Ojambi Masaburi akizungumza na wananchi wa Pugu Stesheni Bangulo .

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here