Home LOCAL DAWASA YAENDELEZA MRADI WA KUUNGANISHA MAJI WA HNC-MAGEREZA, BOKO

DAWASA YAENDELEZA MRADI WA KUUNGANISHA MAJI WA HNC-MAGEREZA, BOKO

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Kazi ya uchimbaji na ulazaji wa bomba zenye ukubwa wa inchi 4 kwa umbali wa mita 1200 kutoka Boko Magengeni hadi Boko NHC katika utekelezaji wa mradi mdogo wa majisafi wa NHC- MAGEREZA.

Kukamilika kwa mradi huu kutaongeza msukumo wa maji na kuboresha huduma ya majisafi kwa wakazi wa maeneo ya Boko Magengeni, Sembeti na Boko NHC.