Home LOCAL RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATORO NA BUSERESERE, PIA...

RAIS MHE.SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATORO NA BUSERESERE, PIA AZINDUA KITUO CHA KUPOKEA, KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA MPOMVU GEITA 

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza na Wananchi wa Katoro na Buseresere pia azindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza Umeme cha Mpomvu Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa wakati akizindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme cha Mpomvu Geita tarehe 15 Oktoba, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here