Home BUSINESS MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF MAONESHO YA...

MWENYEKITI WA BODI YA WAKURUGENZI STAMICO ATEMBELEA BANDA LA BUCKREEF MAONESHO YA MADINI GEITA

Meneja Mkuu wa Mgodi wa Backreef Gold Company Bw Mhandisi Gaston Mjwahuzi akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael Isamuhyo wakati alipotembelea katika banda la Backreef Gold Company katika Maonesho ya Madini Geita.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa rais na Mkurugenzi wa Kampuni ya TRX GoldTanzania LTD Bw. Khalaf Rashid (kushoto) akizungumzia uhusiano kati ya kampuni hiyo na STAMICO ambaye ni mbia mwenza katika uendeshaji wa Mgodi wa Buckreef. (kulia) ni, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael.

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Dkt. Venance Mwase akifafanua jambo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Madini la Taifa STAMICO Meja Jenerali Michael.