Home BUSINESS RAIS SAMIA ATEMBELA BANDA LA TPA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA...

RAIS SAMIA ATEMBELA BANDA LA TPA KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE NA VIJANA WA (AfCFTA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Umma wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Dkt. George S. Fasha kuhusu maboresho na miradi mbalimbali inayofanyika na inayoendelea kufanyika katika ukanda wa Bahari ya Hindi (Dar es Salaam, Tanga na Mtwara), pamoja na Maziwa Makuu (Kyela, Mwanza na Kigoma), wakati Mhe, Rais alipotembelea Banda la Mamlaka hiyo mapema yabla ya kufungua rasmi Mkutano wa Wanawake na Vijana ulioandaliwa na Sekretarieti ya eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) unaofanyika kwa siku tatu kuanzia leo Septemba 12 hadi 14,2022 katika Ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. (wa kwanza kulia) ni Afisa Mawasiliano wa TPA Omary Khalid.

Kaimu Mkurugenzi wa Masoko na Uhusiano wa Umma wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Dkt. George S. Fasha (kustoto) akiwa katika picha ya pamoja wa na Maofisa wengine kutoka katika Mamlaka hiyo. (kutoka kushoto) ni, Afisa Mawasiliano wa TPA Omary Khalid, Maafisa Masoko Marietha kileo, pamoja na Glory Kisanga. (kulia)

Previous articleTODAYS NEWSPAPERS ON MONDAY SEPTEMBER 12nd,2022
Next articleRAIS SAMIA ATEMBELEA BANDA LA TIC KATIKA MKUTANO WA KIMATAIFA WA WANAWAKE NA VIJANA WA (AfCFTA) JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here