Home LOCAL RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA VYOMBO VA HABARI NCHINI

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA VYOMBO VA HABARI NCHINI

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akisisitiza jambo wakati  akizungumza na Wananchi kupitia  Wahariri na Waandishi wa Habari na  vya vyombo  vya Serikali na Binafsi leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar  ikiwa ni hatua yake ya kila kipindi kuzungumzia masuala mbali mbali .[Picha na Ikulu] 05/09/2022.

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi kupitia  Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi ikiwemo Magazeti,Tv na Redio na mitandao ya kijamii leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kuhusu masuala mbali mbali ya kuleta maendeleo kwa Taifa letu.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.  

Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipozungumza nao leo  katika   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, kuhusu masuala mbali mbali ya kuleta maendeleo kwa Taifa letu.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.  

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar leo Nd,Ali  Haji Mwadini (kushoto) na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo  Zanzibar Nd,Hassan Khatib Hassan wakiwa katika mazungumzo ya Wahariri na Waandishi wa Habari wa  vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi chini ya mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 05/09/2022.  

Baadhi ya Waandishi wa Habari na Wahariri vya vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo alipokuwa akizungumza nao katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu] 05/09/2022. 

Previous articleACT WAZALENDO YATOA MAAZIMIO YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU
Next articleTANZANIA NA VENEZUELLA ZATILIANA SAINI KUANZISHA USHIRIKIANO WA KISIASA NA NYANJA MBALIMBLI JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here