Rais wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa nchini amelazimika kulifuta pambano la Karem Mandonga na mpinzani wake kutokana na kukiukwa kwa kanuni za mchezo huo jukwaani.
Baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Mandonga na mpinzani wake Kiongozi huyo mewenye dhamana ya Ngumi za Kulipwa alipanda jukwaani na kutangaza kukiukwa na kanuni za mchezo huo kutokana na meamuzi kuvunja kanuni za mchezo.
Katika mchezo huo manondia hao walikuwa wakionyeshana ubabe kutokana kuwa wote walikuwa wamejiandaa.
Akizungumza alipopohojiwa na waandishi wa habari Karem Mandonga alisema kuwa Bado ana uwezo mkubwa wa kupigana na hata kama atakuwa amepigwa yeye anahesabu ameshinda.
“Mimi nikipigwa nimeshinda, na nikishinda pia nimeendelea kushinda, ‘hapa shoo shoo’