Home SPORTS MANDONGA MTU KAZI NGOMA NZITO MTWARA, PAMBANO LAFUTWA

MANDONGA MTU KAZI NGOMA NZITO MTWARA, PAMBANO LAFUTWA

Rais wa Shirikisho la Ngumi za Kulipwa nchini amelazimika kulifuta pambano la Karem Mandonga na mpinzani wake kutokana na kukiukwa kwa kanuni za mchezo huo jukwaani.

Baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Mandonga na mpinzani wake Kiongozi huyo mewenye dhamana ya Ngumi za Kulipwa alipanda jukwaani na kutangaza kukiukwa na kanuni za mchezo huo kutokana na meamuzi kuvunja kanuni za mchezo.

Katika mchezo huo manondia hao walikuwa wakionyeshana ubabe kutokana kuwa wote walikuwa wamejiandaa.

Akizungumza alipopohojiwa na waandishi wa habari Karem Mandonga alisema kuwa Bado ana uwezo mkubwa wa kupigana na hata kama atakuwa amepigwa yeye anahesabu ameshinda.

Mimi nikipigwa nimeshinda, na nikishinda pia nimeendelea kushinda, ‘hapa shoo shoo’

Previous articleKIDUKU AMTWANGA KHALED MTWARA
Next articleMAGAZETI YA LEO JUMAPILI SEPTEMBA 25-2022
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here