Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM NA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI...

MWENYEKITI WA CCM NA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoketi katika ukumbi wa NEC (White House), Makao Makuu ya CCM Dodoma.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here