Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM NA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI...

MWENYEKITI WA CCM NA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo ameongoza Kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichoketi katika ukumbi wa NEC (White House), Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Previous articleWAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU WA JAPAN SHINZO ABE JIJINI TOKYO
Next articleRAIS SAMIA ALIVYOIMARISHA UHURU WA HABARI NA TANZANIA YA KIDIGITALI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here