Home BUSINESS BRELA YAPOKEA MAONI YA WADAU WA SEKTA BINAFSI MAREKEBISHO YA SHERIA YA...

BRELA YAPOKEA MAONI YA WADAU WA SEKTA BINAFSI MAREKEBISHO YA SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA, SURA 208

Wadau kutoka Sekta Binafsi wakiwa katika kikao cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu marekebisho ya Sheria ya Leseni za Biashara, Sura 208, leo tarehe 15 Septemba, 2022 katika ukumbi wa Anatouglo Jijini Dar Salaam. Hatua hiyo inafuatia mpango wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), wa kuifanyia marekebisho Sheria hiyo ambayo imepitwa na wakati.

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here