Home BUSINESS BRELA YAPOKEA MAONI YA WADAU WA SEKTA BINAFSI MAREKEBISHO YA SHERIA YA...

BRELA YAPOKEA MAONI YA WADAU WA SEKTA BINAFSI MAREKEBISHO YA SHERIA YA LESENI ZA BIASHARA, SURA 208

Wadau kutoka Sekta Binafsi wakiwa katika kikao cha kukusanya maoni ya wadau kuhusu marekebisho ya Sheria ya Leseni za Biashara, Sura 208, leo tarehe 15 Septemba, 2022 katika ukumbi wa Anatouglo Jijini Dar Salaam. Hatua hiyo inafuatia mpango wa Wizara ya Uwekezaji Viwanda na Biashara kupitia Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni(BRELA), wa kuifanyia marekebisho Sheria hiyo ambayo imepitwa na wakati.

 

Previous articleMKURUGENZI TPDC AKAGUA UJENZI KIWANDA CHA KUFUNIKA MABOMBA SOJO – NZEGA MRADI BOMBA LA MAFUTA LA UGANDA – TANGA
Next articleMRADI WA MAJI BUTIMBA , CHACHU KATIKA KUENDELEZA UHIFADHI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here