Home Uncategorized RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI UKARABATI NA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE IRINGA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege Iringa. Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi imefanyika katika Mtaa wa Mapanda kata ya Nduli Mkoani Iringa tarehe 12, Agosti, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Mtaa wa Mapanda mara baada ya kuweka jiwe la Msingi Mradi wa ukarabati na upanuzi wa Uwanja wa Ndege cha Iringa tarehe 12, Agosti, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here