
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisimama na Baadhi ya ya Ujumbe wa Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE) wakati Wimbo wa Taifa Ukipigwa wakati wa hafla ya utiaji saini Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi hiyo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo .[Picha na Ikulu] 27/06/2022.



. 

Baadhi ya Viongozi wakipongeza baada ya kushuhudia utiaji saini wa Ujenzi miradi mitatu ya maendeleo baina ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Misaada ya Sheikh Zayed Al Nahyan kutoka Nchi za Jumuiya ya Falme za Kiarabu (UAE)hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu jijini Zanzibar,ambapo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alishuhudia saini hiyo .[Picha na Ikulu] 27/06/2022.