Home LOCAL RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA MKUU WA IDARA YA...

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZUNGUMZA NA MKUU WA IDARA YA AFRIKA MFUKO WA “GLOBAL FUND” BW. LINDEN MORRISON IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva Bw.Linden Morrison, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake Dr.Sarah Asiimwe na Dr. Patrick Githendu, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein  Ali Mwinyi akizungumza na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva Bw. Linden Morrison, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 10-6-2022, akiongozana na ujumbe wake.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mkuu wa Idara ya Afrika Mfuko wa “Global Fund” kutoka Geneva Bw. Linden Morrison, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 10-6-2022, akiwa na ujumbe wake.(Picha na Ikulu)

Previous articleMAJALIWA ATOA UFAFANUZI BUNGENI KUHUSU TAARIFA ZINAOSAMBAZWA KUHUSU HIFADHI YA LOLIONDO
Next articleMAJALIWA AKUTANA NA SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here