Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi kuhusu taarifa zinazosambazwa katika mitandao ya kijamii kuhusu eneo la Hifadhi ya Loliondo wilayani Ngorongoro mkoani Arusha, bungeni jijini Dodoma, Juni 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MAJALIWA ATOA UFAFANUZI BUNGENI KUHUSU TAARIFA ZINAOSAMBAZWA KUHUSU HIFADHI YA LOLIONDO
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!