Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU , ASALIMIANA NA WANANCHI WA MULEBA MKOANI KAGERA

RAIS SAMIA SULUHU , ASALIMIANA NA WANANCHI WA MULEBA MKOANI KAGERA

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Muleba tarehe 08 Juni  2022.

Mhe. Rais Samia ameanza  ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Kagera kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi.

Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI ASUBUHI YA LEO JUMATANO JUNI 8,2022
Next articleEQUITY BANK GROUP KUWEKEZA TRILIONI 13
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here