Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU , ASALIMIANA NA WANANCHI WA MULEBA MKOANI KAGERA

RAIS SAMIA SULUHU , ASALIMIANA NA WANANCHI WA MULEBA MKOANI KAGERA

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wananchi wa Wilaya ya Muleba tarehe 08 Juni  2022.

Mhe. Rais Samia ameanza  ziara ya kikazi ya siku tatu Mkoani Kagera kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo ya Wananchi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here