Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU AKIANGALIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

RAIS SAMIA SULUHU AKIANGALIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba alipokuwa akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka 2022/2023, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2022. Rais Samia alikuwa akifuatilia hotuba hiyo ya Bunge wakati akiwa Muscat nchini Oman

 


Previous articleHABARI PICHA: WANANCHI WAJITOKEZA KUTATUA MIGOGORO YA KAMPUNI KATIKA ‘WIKI YA SULUHISHA NA BRELA’ JIJINI DAR
Next articleNAIBU WAZIRI WA AFYA AWAAGIZA WATUMISHI WA AFYA MKOA WA ARUSHA KUTOA HUDUMA BORA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here