Home BUSINESS HABARI PICHA: WANANCHI WAJITOKEZA KUTATUA MIGOGORO YA KAMPUNI KATIKA ‘WIKI YA...

HABARI PICHA: WANANCHI WAJITOKEZA KUTATUA MIGOGORO YA KAMPUNI KATIKA ‘WIKI YA SULUHISHA NA BRELA’ JIJINI DAR

 
Maafisa wa WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiendelea kutoa huduma ya kutatua migogoro na changamoto za Makampuni ikiwa ni siku ya pili toka kuzinduliwa kwa WIKI YA SULUHISHA NA BRELA iliyozinduliwa rasmi Juni 13,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam ikiwa na lengo la kutoa fursa kwa wamiliki wa Makampuni yenye Migogoro mbalimbali kupata msaada wa utatuzi wa changamoto zinazowakabili.

WIKI YA SULUHISHA NA BRELA inatarajiwa kuhitimishwa siku ya jumapili Juni 19,2022.

Previous articleMAGAZETI YA LEO JUMANNE JUNI 14-2022
Next articleRAIS SAMIA SULUHU AKIANGALIA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here