Home LOCAL RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WANAOWAKILISJA NCHI ZAO...

RAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WANAOWAKILISJA NCHI ZAO HAPA NCHINI,IKULU CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Cuba hapa nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Cuba hapa nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Cuba hapa nchini Mhe. Yordenis Despaigne Vera mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022

  Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Shibru Kedida katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Shibru Kedida mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Ethiopia hapa nchini Mhe. Shibru Kedida mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Chamwino

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Mhe. Andrey Levonovish Avetsyan katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino tarehe 07 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Andrey Levonovish Avetsyan mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Shirikisho la Urusi hapa nchini Andrey Levonovish Avetsyan, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Oman hapa nchini Mhe. Saud Hilal Al Shidhani Ikulu Chamwino tarehe 07 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Balozi wa Oman hapa nchini Mhe. Saud Hilal Al Shidhani mara baada ya kukabidhi Hati zake za utambulisho Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Oman hapa nchini Mhe. Saud Hilal Al Shidhani Ikulu Chamwino Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here