Home BUSINESS RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA...

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA JIJINI DODOMA


   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

 Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

Previous articleRAIS SAMIA APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WANAOWAKILISJA NCHI ZAO HAPA NCHINI,IKULU CHAMWINO DODOMA
Next articleTIMU ZA SERENGETI GIRLS NA TEMBO WARRIORS WAPEWA HESHIMA YA MASHUJAA TAIFA NA BUNGE
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here