Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI YA TAASISI YA...

RAIS SAMIA AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA WADHAMINI YA TAASISI YA MWALIMU NYERERE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku ambaye aliambatana na wajumbe wa Bodi hiyo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Juni, 2022. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku ambaye aliambatana na wajumbe wa Bodi hiyo mara baada ya mazungumzo yao, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Juni, 2022.

Previous articleYASEMAVYO MAGAZETI YA LEO JUMATANO JUNI 29-2022
Next articleLG Smart Home WATANGAZA MAPINDUZI YA KIDIGITALI TANZANIA, KUOKOA MUDA NA NGUVU KWA WATUMIAJI.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here