Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA MHE.BRUNO RODRIGUEZ PARRILLA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla aliyeambatana na ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cuba Mhe. Bruno Rodriguez Parrilla mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here