Home LOCAL RAIS SAMIA AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI NCHINI

RAIS SAMIA AKUTANA NA MKUU WA MAJESHI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo. Jenerali Mabeyo alifika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumuaga Mhe. Rais Samia wakati akimaliza kipindi cha Utumishi wake katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Previous articleVIJANA JIKINGENI NA MAAMBUKIZI YA VVU- MHE. SIMBACHAWENE
Next articleRAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CUBA MHE.BRUNO RODRIGUEZ PARRILLA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here