Home BUSINESS RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA...

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 13 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA JIJINI DODOMA


   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

 Viongozi na Wajumbe wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akifungua Mkutano wa 13 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma tarehe 07 Juni, 2022.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here