Home LOCAL RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ACT...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Chama cha ACT Wazalendo baada ya mazungumzo yao katika utaratibu wake wa kawaida wa kukutana na Vyama vya Siasa Nchini tarehe 28 Juni 2022 Ikulu Jinini Dar Es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here