Home LOCAL MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA

MAJALIWA AKUTANA NA SPIKA MSTAAFU ANNE MAKINDA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika Mstaafu na Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).