Home LOCAL HABARI PICHA: WIZARA YA ARDHI YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI NCHINI

HABARI PICHA: WIZARA YA ARDHI YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI NCHINI

Waziri wa Arhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akizungumza alipokuwa akifungua rasmi mkutano wa Wizara yake na Wahariri wa vyombo vya habariuliofanyika leo Juni 4,2022 Jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Charles Kijazi akizungumza alipokuwa akitoa hotuba ya utangulizi alipokuwa akimkaribisha Mgeni rasmi waziri wa Wizara hiyo Mhe. Angelina Mabula katika mkutano huo uliofanyika leo Juni 2,2022 Jijini Dar es Salaam.



Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile akizungumza kwenye Mkutano huo leo Juni 4, 2022
. (PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO)

PICHA MBALIMBALI ZA WAHARIRI NA WADAU WENGINE KATIKA MKUTANO HUO.





LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here