Home LOCAL HABARI PICHA: WIZARA YA ARDHI YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI NCHINI

HABARI PICHA: WIZARA YA ARDHI YAKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI NCHINI

Waziri wa Arhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula akizungumza alipokuwa akifungua rasmi mkutano wa Wizara yake na Wahariri wa vyombo vya habariuliofanyika leo Juni 4,2022 Jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Charles Kijazi akizungumza alipokuwa akitoa hotuba ya utangulizi alipokuwa akimkaribisha Mgeni rasmi waziri wa Wizara hiyo Mhe. Angelina Mabula katika mkutano huo uliofanyika leo Juni 2,2022 Jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile akizungumza kwenye Mkutano huo leo Juni 4, 2022
. (PICHA ZOTE NA: HUGHES DUGILO)

PICHA MBALIMBALI ZA WAHARIRI NA WADAU WENGINE KATIKA MKUTANO HUO.

Previous articleMAVUNDE: MRADI WA SHILINGI BILIONI 500 ZA CHINA KWA ZAO LA SOYA KUANZA MWAKA HUU
Next articleKAMATI TENDAJI KITAIFA ANWANI ZA MAKAZI YAKUTANA DODOMA.
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here