Home BUSINESS HABARI PICHA: WANANCHI WAJITOKEZA KUTATUA MIGOGORO YA KAMPUNI KATIKA ‘WIKI YA...

HABARI PICHA: WANANCHI WAJITOKEZA KUTATUA MIGOGORO YA KAMPUNI KATIKA ‘WIKI YA SULUHISHA NA BRELA’ JIJINI DAR

 
Maafisa wa WAKALA wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakiendelea kutoa huduma ya kutatua migogoro na changamoto za Makampuni ikiwa ni siku ya pili toka kuzinduliwa kwa WIKI YA SULUHISHA NA BRELA iliyozinduliwa rasmi Juni 13,2022 katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam ikiwa na lengo la kutoa fursa kwa wamiliki wa Makampuni yenye Migogoro mbalimbali kupata msaada wa utatuzi wa changamoto zinazowakabili.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

WIKI YA SULUHISHA NA BRELA inatarajiwa kuhitimishwa siku ya jumapili Juni 19,2022.