Home ENTERTAINMENTS Video Mpya : BBY NAI – NIMEOLEWA…NI YULE MREMBO ALIYETEMBEA MTAANI NA...

Video Mpya : BBY NAI – NIMEOLEWA…NI YULE MREMBO ALIYETEMBEA MTAANI NA BANGO LA ‘NATAFUTA MME’

Msanii Baby Nai anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa ‘Nimeolewa’

Septemba 2022 Mrembo Bby Nai kutoka Buza Temeke alizua gumzo baada ya kutembea mtaani na Bango la ‘Natafuta Mume’ ambapo alisisitiza kuwa haoni shida ya kutembea na bango hilo kwa sababu havunji sheria za nchi.

Tazama Video ya Bby Nai – Nimeolewa.

Previous articleMGANGA MKUU WA SERIKALI : SERIKALI NA WANASIASA PEKEE HAWAWEZI KUMALIZA JANGA LA UVIKO-19
Next articleHABARI PICHA: KIKAO KAZI KATI YA BRELA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI CHAMALIZIKA MKOANI MOROGORO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here