Home BUSINESS TCRA YAWASIKILIZA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA

TCRA YAWASIKILIZA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Dkt. Jabiri Bakari akiongoza kikao-kazi na watoa huduma za Mawasiliano katika Kanda ya Ziwa, kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza tarehe 24 Mei, 2022 kujadili utendaji kazi na kusikiliza changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano katika kanda ya ziwa ili kuzipatia ufumbuzi. Washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita, Mara na Simiyu wameshiriki kikao hicho. Picha na TCRA .


Baadhi ya watoa huduma za Mawasiliano katika Kanda ya Ziwa wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Dkt. Jabiri Bakari akiongoza kikao-kazi na watoa huduma katika kanda hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza tarehe 24 Mei, 2022, kujadili utendaji kazi na kusikiliza changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano katika kanda ili kuzipatia ufumbuzi. Washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita, Mara na Simiyu wameshiriki kikao hicho. Picha na TCRA.


Watoa huduma za mawasiliano katika Kanda ya Ziwa wakishiriki kikao kazi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kilichoongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. Jabiri Bakari na kufanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza tarehe 24 Mei, 2022. Kikao hicho kililenga kujadili utendaji kazi wa watoa huduma katika kanda hiyo ambapo TCRA ilisikiliza na kupokea changamoto zinazoikabili sekta ya mawasiliano katika kanda ili kuzipatia ufumbuzi. Washiriki kutoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Shinyanga, Geita, Mara na Simiyu wameshiriki kikao hicho. Watoa Huduma za Utangazaji kwa njia ya Redio, Televisheni na Mitandao, Televisheni za Kebo, Watoa Huduma za Mawasiliano ya Simu, Wamiliki wa Kampuni za Usafirishaji wa Vifurushi na Vipeto, Watoa Huduma za Intaneti pamoja na Umoja wa Mafundi Simu Kanda ya Ziwa. Picha na TCRA


Previous articleRAIS SAMIA KUSHIRIKI MDAHALO WA WAKUU WA NCHI, ACCRA – GHANA
Next articleCCM YAWAKILISHA MAONI YAKE KWA KIKOSI KAZI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here