Home LOCAL CCM YAWAKILISHA MAONI YAKE KWA KIKOSI KAZI

CCM YAWAKILISHA MAONI YAKE KWA KIKOSI KAZI

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo amewasilisha maoni na mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi kwa Kikosi Kazi Cha Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinachofanyia kazi masuala yanayohusu Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa leo tarehe 24, Mei 2022 jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho cha kuwakilisha maoni na mapendekezo ya Chama Cha Mapinduzi, Katibu Mkuu Chongolo aliongozana na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Unenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka.

Previous articleTCRA YAWASIKILIZA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KANDA YA ZIWA
Next articleUFARANSA YAZINDUA MRADI WA ‘Innoversity’ KUWAWEZESHA WABUNIFU NA WAJASIRIAMALI KATIKA VYUO VIKUU VITATU TANZANIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here