Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA TABORA

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA TABORARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo 19 Mei, 2022.

 Sehemu ya Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

kikundi cha burudani cha kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma kikitumbuiza katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

   

Previous articleTCRA YAVITAKA VYOMBO VYA HABARI MTANDAO KUZINGATIA SHERIA, KUWA WABUNIFU WA VIPINDI
Next articleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. PINDI CHANA AFANYA ZIARA KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII (NCT) JIJINI DAR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here