Home LOCAL RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI KATIKA MSIKITI...

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ASHIRIKI SWALA YA EID EL FITRI KATIKA MSIKITI MKUU WA BAKWATA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA uliopo Kinondoni Muslim mara baada ya kushiriki Swala ya Eid El Fitri pamoja na Waumini wengine wa dini ya Kiislamu Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022.


Waumini wa dini ya Kiislamu wakishiriki Swala ya Eid El Fitri iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Muslim Jijini Dar es Salaam tarehe 3 Mei, 2022.


Previous articleMISA – TAN YAIPONGEZA SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA UPATIKANAJI WA INTANETI, MABADILIKO CHANYA YA UKUAJI WA SEKTA YA HABARI
Next articleUWT NJOMBE WATOA PONGEZI KWA UONGOZI WA CCM TAIFA,
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here