![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokea kombe la Dunia kutoka kwa Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), ambaye pia ni mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea, Barcelona pamoja na timu ya Taifa ya Brazili Juliano Belletti katika hafla ya kupokea kombe hilo leo Mei 30,2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam |














( PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)